Mimi ni kijana wa miaka 24 na sijawahi kufanya mapenzi toka nizaliwe.Je, kuna madhara? Kama yapo ni yapi?
Husika na kichwa tajwa hapo juu
Kulingana na maadili niliyolelewa Wakuu
Ki ukweli sijawahi kuonja papuchi toka nizaliwe na umri pia unasogea na sina mpango kwa sasa ila nilikuwa na ka mtindo ka kujichua toka O level sasa nauliza Ni madhara gani naweza kukupambana nayo kwa kutokujamiaana toka nizaliwe mpaka sasa na umri wa miaka 24 huku 25 ikinikaribia? Wakuu uwanja ni wenu.
Mimi ni kijana wa miaka 24 na sijawahi kufanya mapenzi toka nizaliwe.Je, kuna madhara? Kama yapo ni yapi?
Reviewed by Love Psychologist
on
April 22, 2019
Rating:
No comments: