Ni mtoto mrembo Wa kilokole tumekuwa pamoja kwa miezi miwili na kadhaaa. Jana akaenda kazin. Baadae kupiga simu ikawa haipatikan.
Nikaenda kazin nikaambiwa yuko off. Nikajisemea "mapenzi mubashara haya" karoho kakaniuma kidogo. Nikamsubiri, nikamface saa nne baada ya kurudi hewani.
Nikamuuliza kwa nini ananidanganya? Akasema alienda kazin, akakuta yuko off kuna rafiki alimshikia sasa Leo huyo rafiki yake kamshikia siku nzima. Ila simu battery huwa inazingua kwa hio ilizima charge.
Kajiteteaaa nikamuangaliia nikajisea "hiii" mlokole wangu mwizi huyuuuu. Nikamuacha ila nikamshusha marks kutoka 50% mpaka 20%.
Acha nipambane na maisha. Yeye apambane na mabwana zake tu.
Maajabu: Nimemkamata mlokole
Reviewed by Love Psychologist
on
April 25, 2019
Rating:
No comments: