Sponsor

banner image

recent posts

Unaona inakurahisishia ila ni hatari kwa afya kuangalia video za ngono “pornography” ukiwa na mpenzi wako



Katika mahusiano ya watu kumi(me&ke) basi mahusiano ya watu saba kati yao huwa ni lazima watizame filamu za ngono kabla hawajaingia kuraruana kitandani.

Suala hili lipo kwa vijana wa kileo hasa ambao hawajaoa na kuolewa yani bado ni boyfriend na girlfriend, lakini baadhi ya wanandoa pia huwa wanahuo utaratibu na lengo ni kujiweka sawa(mood) ya kitendo kinachofuata.

Ni utaratibu mzuri kwa vijana wengi kwa kuwa huona kama wanarahisisha jukumu la kumwandaa mwanamke, ambapo ili mwanamke achaji ni lazima apitie hatua kadhaa na ni lazima zifanywe na mwanaume (foreplay) kwa dakika kadhaa.

Lakini mkitizama porn ni rahisi kununua hisia, na kutoka hapo mwanaume hupanda tu na kukutana na mtelezo bila hata kuchapia na mate kidogo.


Lakini katika hili kuna mawili huwa yanachangia kuingia katika ugonjwa huo na hatari kwa afya ya mapenzi kwa wanaume.

Mosi ni kuwa; inawezekana mwanaume hujataka muangalie hicho kitu, ila mwanamke ndie hukushawishi muingie porn site na kutafuta zile hard core porn.
Na ikifikia hapo napo jua kuna mawili; mwanamke hana hisia na wewe hivyo anatafuta mood ili nae afurahi au la basi anakupa ujumbe ya kuwa anahitaji rough sex kama hizo mnazotizama.

Lakini la pili pia inaweza kuwa ni hatari zaidi kama wewe ndie unaetaka kitonga kwa kumwonesha hiyo michezo ili upate utelezi bila kutoa jasho.

Kwanini ni tatizo?

Kwa sababu akizoea kuona, akili yake itakuthaminisha na wale aliowaona kwenye porn, atataka umnyandue kisawasawa kwa kumbinua kushoto na kulia huku ukichelewa kumaliza kama zile fake zinazochezewa na kompyuta.

Matokeo yake usipoyafanya yale atakuona kama hujakamilika, na atakucheat kila mara ili kutafuta utamu wa rough sex, tena wengine huwa wanatamani kabisa kubikiriwa kwa mara ya pili kwa mlango wa uani.

Hivyo basi, epuka kuwa daraja la kudharauliwa na kusalitiwa hasa ukikutana na mwanamke kichwa maji.

Tumia uwezo wako binafsi kumpa foreplay kisha mbandue na umfanye akuzoee kisha akwambie anapenda nini wakati wa kusokotana.

Lakini wanawake na nyinyi kwa nini mnakuwa na siri za hisia zenu? Yani umemkubalia; ukamvulia ila bado hutaki kumwambia unapenda akufanyie nini wakati wa mgegedo, hutaki kumwambia unapenda rough au slow, hutaki kumwambia ni mkao gani akikuweka basi unamaliza haraka na kufurahia.

Eti kisa unasema hujamzoea na wanaume nao utakuta akipata demu mpya basi muda wote akiwa kifuani anauliza tu
"Baby umekojoa? Baby unapenda nini? Baby nakufikisha....

Aah unamkera, sio rahisi kukwambia,cheza na reaction yake wakati unamkunjua na utagundua unampatia au la, komaa utampata tu na hapo ndo huwa wanataka, yani wanataka uhangaike mwenyewe kisha akusifie kimoyomoyo au akuponde kwa mashoga zake.

***

Ebanaee Mzee Mapenzi nasema hivi; ni hatari kwa afya ya mapenzi kuangalia filamu za ngono na mpenzi wako!
Acha ujuzi ulioumbwa nao utumike kula tunda la mabaya na mazuri ya dunia.
Unaona inakurahisishia ila ni hatari kwa afya kuangalia video za ngono “pornography” ukiwa na mpenzi wako Unaona inakurahisishia ila ni hatari kwa afya kuangalia video za ngono “pornography” ukiwa na mpenzi wako Reviewed by Love Psychologist on April 25, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.