Ndugu , Katika mizunguko yangu ya kufanya Tafiti mwaka juzi 2017 niliamua kuanza kufanya Tafiti za Baharini.
Kusema kweli duniani kuna maajabu mengi sana.
Ilikuwa ni mwezi wa Tano nilikutana na mzee Nasoro Hassan, mzee aliyebobea katika uvuvi. Nilimuomba tutumie mashua yake kusafiri kwenda bahari ya mbali. Mzee aliniambia yupo tayari endapo nitampatia sh. 1,000,000. Nilimpatia Sh. 500,000 kwamba tukirudi nitamkamilishia ile iliyobaki.
Mzee alichukua vijana wake watatu, yeye na mimi tukawa watu watano. Tulifungasha mizigo yaani chakula, shuka na mavazi mbalimbali. Muda wa saa kumi na mbili jioni tulianza safari kwa kutumia mashua yake.
Tulisafiri usiku mzima mpaka kesho yake asubuhi tulikuwa tumo baharini. Jua lilichomoza, hakukua na dalili yoyote ya mtu. Vijana wake waliwasha moto ndani ya mashua hiyo na kuchemsha chai. Siku hiyo tulisafiri mpaka jioni hivi tulifika kwenye kisiwa kidogo tulitia nanga hapo.
Wakaniambia mahali hapa ni salama, wenyewe wanaingia baharini kuvua kisha watarudi kunichukua. Bahari inatisha asikuambie mtu. Hofu ilinijaa sana, ila nilipiga moyo konde na kusema kama kufa na nife siogopi kitu. Maji nimeyavulia nguo sinabudi kuyaoga.
Nililala hapo na usingizi wa mang'amu ng'amu. Yapa kama saa nane hivi za usiku, nilikurupuka kutoka usingizini. Harufu nzuri ya marashi niliihisi huku hali ya hewa ikibadilika. Nywele zangu zilikuwa kama zinajikusanya, mwili ukiwa kama umemwagiwa barafu. Niligeuka kuangalia nyuma. Nilikutana uso kwa uso na mwanamke mrembo sana. Akaniita jina langu, nilishituka sana na kujikuta natetemeka. Alikuwa anaongea kiswahili safi na akasema yeye anaitwa Zuhura kwa Kingereza Venus.
Aliniambie nisiogope maana yeye hana nia mbaya na mimi. Akasema amenipenda na akasema yupo tayari twende naye nyumbani kwao.
WanaJF mwanamke huyo alikuwa mzuri sana, alikuwa anavutia mno, sauti yake nyororo. Alinigusa kwenye mikono yangu. Mwili wangu ulisisimka. Si unajua mimi ni mwanaume kamili. Alivua nguo zake, yaani mtoto yule alikuwa mlaini sana hana hata aina yoyote ya scratch.
Sikupoteza muda nilifanya mambo. Nilipiga mzigo, nilipiga mzigo. Yaani alikuwa wa moto sana na kila kitu kipo poa. Nilishika matiti yake yalikuwa saa sita. Baadae akaniambia asante.
Baadae tulipiga stori nyingi, alinieleza namna kwao wanavyoishi vyakula wanvyokula.
Baadae aliondoka na kuniambia atakuja tena maana amenipenda.

Maajabu ya Baharini - Nilikutana na Kuongea na Majini
Reviewed by Love Psychologist
on
April 16, 2019
Rating:
No comments: