wake ni watu wa kujisahau sana.
Akijihakikishia kuwa yupo peke yake, na mume aliyenaye kuwa kwake ndio kafika na Hana uwezo wa kuwa na mwanamke mwingine , , ,Basi huwa wanajisahau Sana na kuwa viburi.
Lakini akijua kuwa Kama akizingua anapata mwenzie mda wowote, atakuwa makini na kuamua moja KUPENDA na kutetea haki yake, au KUSEPA kuwaachia wenzake.
MWANAUME jitambue, mrushe rushe roho mkeo, mwanamke wako ili akujue mapema .
Mfanye mkeo/mpenz wako ajue una uwezo wa kupata mwingine
 
        Reviewed by Love Psychologist
        on 
        
June 29, 2019
 
        Rating: 
      
 
        Reviewed by Love Psychologist
        on 
        
June 29, 2019
 
        Rating: 

No comments: