Poleni na majukumu ya siku.
Husika na heading hapo juu.
Nimeona mara nyingi, na mimi mwenyewe yamewahi kunitokea, ukimgegeda mtumishi ambaye Unamsimamia ghafla demu huyo lazima awe na majivuno na mazalau kwa watumishi wengine au watu wanaowajibika kwako.
Mfano mwepesi ni pale mabosi wanapokuwa na mahusiano na masectritary wao..... Kila anaye kuja kumtafuta bosi, ajiandae kukutana na mizalau na kushushwa chini. Utajibiwa. Majibu ya mikato hadi utajidharau.
Mfano mwingine ni pale Baba unapoamua kumgegeda house girl... Dharau na makwazo atakayokutana nayo mke wako utajuta kumfahamu house girl huyo.
Au uingie chaka umgegede mdogo wake na wife wako, kama unaishi na Ndg zako watajuta kumfahamu. Si kwa shobo na majovuno. Hata wife wako atakosa nguvu ikiwa atachukua maamuzi ya kumrudisha kijijini sikimbi.
Swali langu ni kwamba ni kitu gani hasa upelekea tabia hii...???
Je heshima ya mtu ni uchi wake? Akiuona tu imekula kwako.
Karibuni kwa mjadala huu.
R
Mwanaume usifanye kosa la kutembea na mdogo wa mkeo, secretary, msichana wa kazi
 
        Reviewed by Love Psychologist
        on 
        
June 29, 2019
 
        Rating: 
      
 
        Reviewed by Love Psychologist
        on 
        
June 29, 2019
 
        Rating: 

No comments: