--hanitafuti mpaka nimtafute licha ya kuwa vocha huwa namtumia
--Yuko chuo msosi na huduma zingine basic huwa ni juu yangu ingawa Ada analipiwa na wazee wake wananijua vyema lakini naona kadri siku zinavyoenda anachange anachukulia Simple kila kitu,
--siku akianza kunitafuta basi ujue ana shida na ata nikisema avumilie kwa wakati huo sina atajinunisha na kusema simpendi nawapa michepuko wangu,
--Nikikaa kimya na yeye anakaa kimya siku akianza kunitafuta lawama haziishi,
--naweza kumpigia simu na asiweze kupokea na ata akikuta missed call hanitafuti baadae nikimpigia tena na kumuuliza mbona missed call zangu anaziona na hanitafuti majibu yake huwa ni simple tu nimesahau
--Anajibu text anavyopenda unaweza kutuma leo ikajibiwa kesho,
--Text zake ni short and creal yaani siwezi chati nae zikazidi 5 ata kama nimemmisi kiasi gani?
--Siku hizi za usoni akiwa chuo (maana anakaa hostery) muda wote anajifanya yuko bizy anasoma ata kuongea nae ni sekunde tu lakini akiwa na shida anajitahidi kweli kweli,
Ninachofanya kwake kwa sasa:
--Simtafuti ata akikaa kimya wiki na mimi nauchuna tu mwanzo ilikuwa vigumu ila sasa nimeshazoea,
--meseji zangu ni short and creal kama zake ni salamu tu sina story nyingi,
--Nikipiga simu mara moja Asipopokea hiyo ndio ntolee mpaka anitafute akichili na mimi na chilii,
--Nikituma text moja isipojibiwa na mimi na cool kimya kama sijui chochote,
--sasa hivi yupo field huko mkoa wa kwao kaomba nimtumie nauli anataka kurudi ijumaa na nauli atakayopewa na mzee wake anataka afanyie mambo mengine nimemwambia sawa lakini nimeshapanga simtumii ngoo na hiyo siku ikifika nitamwambia tu mambo yangu yako vibaya,
--kwa kuwa msosi na huduma ndogo ndogo mi ndio nampa nimepanga akigeuka nasitisha kidogo kidogo bila sababu ya msingi namjua mzee wake hawezi ata akimpa haiwezi kumtosha kwa mahitaji yake yote,
--Nimeshatafuta wa kumreplace nilipanga nije kufunga nae ndoa mara tu amalizapo chuo mwakani na nilishafata hatua zote za kujitambulisha kwao na yeye kujulikana kwetu lakini kwa sasa simtaki tena najua atanisumbua niko na mwingine ambae siyo msomi lakini ana heshima na anajari at list ata kwa kile kidogo ninachompa,
Nb.
Japokuwa Zero huwa nawatafuna sana lakini huwa ni kwa siri mara zote napenda kuwa na special ambae ni Main ninaeamua kumpenda lakini akizingua huwa na move on,
Nataka kuoa kwa sababu tu niwe na majukumu ya kifamilia ambayo yatanifanya niwe bizy kuwafikiria wao ili niache hii tabia ya kuwagegeda mademu tofauti kila siku,
Zero naogopa nisije kufa na Ukimwi lakini je nitamuoa nani wanawake wenye ndio hao pasua kichwa.
Mkiona nimekufa ndugu zanguni msiulizie ugonjwa mjue tu ngoma imeshanipeleka mi siwezagi kumvumilia mwanamke na wakati Papuchi is everywhere.
Thanks Reactions:Nathan06
Msikilize huyu: Sababu kwa nini nataka kuachana Nae
Reviewed by Love Psychologist
on
April 22, 2019
Rating:
No comments: