Wakuu salam,Hivi mwanaume kupapaswa papaswa kwenye matako na mpenzi wako, eti huo ni ufala au ni ujanja?Wengine wanasema huenda hiyo ikachangia mwanaume kuwa shoga wengine wanasema hayo ni moja ya mapenzi!Wadau nyie mnamaoni gani?Nawasilisha
No comments: