Ni siku ya tatu tangu nimtongoze huyu Single mother na kukubaliana nae kiutu uzima kuhusu kuunganisha vikojoleo vyetu,
--Sasa Siku ile ile yaani juzi baada ya kukubaliana tu jioni kanicheki mwanae anaumwa nikatoka kumsindikiza hospitary na ku cash,
--jana kanicheki nikamnunulia baadhi ya mazaga ya pale gheto kwake,
--Leo mchana kanicheki kasema kesho anaomba nimpe hela ya kusukia sijui Rasta nikasema ok sawa hapa najua haipungui 25K
--jioni hii muda si mrefu kanicheki kasema anaomba 15K akatoe kwenye mchezo wake kijumbe anamsumbua,
Sijamjibu bado namfikiria maana ata Mbunye yake bado sijailamba ila naona kaja na Moto.
Nimemtongoza siku ya tatu leo tayari ameanza kunitoboa
Reviewed by Love Psychologist
on
April 25, 2019
Rating:
No comments: