Sponsor

banner image

recent posts

Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa...



abari zenu,

naishi kusini mwa Tanzania, natafuta mpenzi ambaye baadae MUNGU ikimpendeza anaweza kuwa mume wangu.
Nina uhitaji sana sana soma wasifu wako na wangu ukiona unaendana karibu.

WASIFU WANGU
Nina umri wa miaka 26.
Elimu yangu ni diploma
Sina mtoto.
Rangi maji ya kunde.
Ni mrefu sio sana
Sina chura #flat.
Mimi ni mkristo Anglican


WASIFU WAKE
Awe mkrito
Sichagui kabila
Awe mwaminifu na mkweli.
Asiwe na majivuno na majigambo.
Asiwe na mke.
Akiwa na mtoto asizidi mmoja.
Asivute sigara
Asiwe mlevi
Elimu anizidi Mimi.
Umri kuanzia 29-35
Awe ameajiriwa hata kujiajiri .
Mwepesi kutoa maamuzi.
SIFA ZINGINE TUTAPEANA PM KARIBU

Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa... Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa... Reviewed by Love Psychologist on April 25, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.