Sponsor

banner image

recent posts

Natafuta mchumba kisha awe mke mwenye sifa zifuatazo



-awe na umri chini ya miaka 24
-awe mwembamba
-awe mweusi au kama mweupe Basi ule wa asili
-awe na elimu ya chuo chochote ngazi ya cheti,diploma au degree hata Kama akiwa Hana kazi haina shida nitampa mtaji mkubwa wa kufanya biashara.
-awe mchaMungu anayeheshimu dini zote ila yeye mwenyewe asiwe mtu wa dini Sana ,pia awe na utambuzi wa Hali ya juu awe haamini Kama Kuna shetani,wala Kuna uchawi awe anajua ukweli kuhusu hizi dhana.
-awe anapenda kujifunza zaidi na hasa kusoma vitabu vya dini zote,ajue angalau history of the world na knowledge ya mambo ya afya hasa kwa kutumia vitu vya asili Kama vyakula, viungo n.k.
-ajue angalau kwa undani knowledge hizi za duniani yaani partial truth Kama vile technology, science, chemistry,physics,laws,nature na kisha ajue deep knowledge ile yenyewe secret knowledge yaani universal Truth aijue na awe tayari tujifunze naye kwa undani kuhusu habari za MUNGU
-awe anapenda kucheza tennis au volleyball yaani kila siku awe tayari kucheza na Mimi
-awe tayari kunitii chochote nitakachomwambia yaani asichoke kunisikiliza
-awe anajali Sana kitu kinachoitwa muda awe anajua umuhimu wa kufanya maandalizi mapema ya Jambo fulani.

-asiwe Ana ndoto za malengo ya kuja kuwa tajiri Sana kiufupi aridhike na maisha ya kawaida..ajue kabisa mimi Sina mpango wa kununua gari maisha mwangu.
-asiwe mtu wa kuamini Amini habari za kusikia na kusimuliwa kwa maneno.
-awe havai wigi,Wala kusuka suka marasta saloon awe na natural hair.
-asiwe na gubu awe Ni mtu mbunifu wa kuitafuta faraja yaani katika mawazo yake awe anajaribu kugundua vitu ambavyo vitatufanya tuwe na faraja
-asiwe mtu wa kusubiri matatizo yatukute Kama vile magonjwa yaani tuhakikishe tunadhibiti maradhi fulani kabla hayajatukuta kwa kuzingatia kanuni za afya,usafi,chakula, mazoezi n.k.
Kama yupo aliye serious tufanye maisha naomba A comment hapa
Natafuta mchumba kisha awe mke mwenye sifa zifuatazo Natafuta mchumba kisha awe mke mwenye sifa zifuatazo Reviewed by Love Psychologist on April 25, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.