Sponsor

banner image

recent posts

Natafuta mchumba mwaminifu na mwenye malengo kimaisha



Mimi ni kijana above 35 mwenye elimu ya vyuo nina shughuli zangu halali za kuniingizia kipato cha kusustain maisha ya familia. Mwanamke ninaemtaka awe above 25 to 35 no problem. awe na elimu kiasi ya kutusaidia kujadili mambo yanayohitaji japo analysis kidogo kwa mustakabali wa future yetu. Mimi ni mkristo japo si limit dhehebu.

Kwa kweli narudia hili I need a very serious and committed lady. na siyo kwamba makubaliano yatafanyiki kimtandao tu... hapana... tunaweza onana ili upata nafasi ya kuni assess then from their you can make your decission.

Wishing you all the best
Natafuta mchumba mwaminifu na mwenye malengo kimaisha Natafuta mchumba mwaminifu na mwenye malengo kimaisha Reviewed by Love Psychologist on April 26, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.