Sponsor

banner image

recent posts

Natafuta rafiki wa kiume mtu mzima Muislam



Mimi ni mama wa miaka 33 na nimejaaliwa watoto wawili, niliolewa bahati mbaya ndoa imevunjika kwasababu zilizo nje ya uwezo wetu.

Sasa nipo nalea wanangu na alhamdulillah najimudu kiasi financially. Ila kama ijulikanavyo huwezi shindana na nature, nikiwa kama mwanamke kuna wakati unamuhitaji mwanaume na siwezi fanya hivyo kwani uzinzi ni dhambi na namuomba Mungu aendelee kuniepusha na hilo.

Hivyo kwa Uzi huu nahitaji marafiki Wa kiume (naprefer kuanzia kwenye urafiki ili kuona compatibility) haswa aliyefiwa na mkewe, au divorced ambaye yeye si sababu ya uvunjifu Wa ndoa yake, au mwenye mtoto/watoto tayari, au yeyote ambaye ni father figure. Umri kuanzia 33 - 45 yrs.

Note: naprefer a responsible family man. If u think u hv the credentials pls pm me, jokes aside pls.
Natafuta rafiki wa kiume mtu mzima Muislam Natafuta rafiki wa kiume mtu mzima Muislam Reviewed by Love Psychologist on April 26, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.