Habari
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Ninaishi na HIV.
Ni mfupi wa wastani, sio mweupe wala mweusi. Ni mkiristo, ndo nimemaliza diploma ya records management.
Natafuta mwenza wa hali yangu awe mrefu, maji ya kunde, mwembamba, awe na kazi angalau, awe mkristo, atakayenidhiria, atakayenifundisha mengi kuhusu maisha na baadaye kuwa mume na mke.
Aliye tayari karibuni na Mungu awabariki
Natafuta mume mwenye umri wa miaka 30 hadi 37
Reviewed by Love Psychologist
on
April 26, 2019
Rating:

No comments: