Mambo vipi ndugu zangu kuna mwanamke nina date nae yapata sasa ni mwaka mmoja sasa, tatizo kila nikilala nae huwa naota ndoto za kutisha hii inamaana gani
hua nalala nae mara nyingi sana kwa week inaweza ikawa mara nne hapi inaweza ikawq kwake au kwangu anakuja
ila hali hii aitokei mara kwa mara ila kwa takwimu nilizozinya inatokea nikilala nae tu ila kama nikilala pekee yangu sioti ndoto mbaya hizo
Je, hii inatokana na nini ndugu zangu ushauri?
Nikilala na huyu mwanamke usiku naota ndoto za kutisha
Reviewed by Love Psychologist
on
April 16, 2019
Rating:
Reviewed by Love Psychologist
on
April 16, 2019
Rating:

No comments: