Sponsor

banner image

recent posts

Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar


Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma  ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar Reviewed by Love Psychologist on April 16, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.