Wadau, Tangu nimezaliwa nimeona ndoa mbalimbali za ndugu zangu, marafiki zangu na hata mpenzi wangu, mke wako na mama yako kamwe huwezi kuta kuna amani yaani lazima kuna ka beef hata kama ni kadogo kiasi gani lkn lazima utakuta kuna kabeef,
Ni chanzo ?
Sijawahi kuona mama mkwe akipatana na mke wa mwanae hata siku moja.
Reviewed by Love Psychologist
on
April 18, 2019
Rating: 5
No comments: