Sponsor

banner image

recent posts

Simba hutumia chini ya dakika moja pamoja na nguvu alizonazo


Kumekiwepo na malalamiko, sijui nguvu za kiume, hadi watu wanauza dawa eti zinaongeza nguvu za kiume hadi Massa 3.

Ninacho jiuliza, kwanini simba na nguvu zake, misuli etc anatumia chini ya dk 1 , na simba jike halalamiki kama hawa viumbe binadamu wa kike?

Wanaume tunaonewa tuu, hata ukitumia sekunde 1, inatosha kabisa.


AU Siyo Wadau......?
Simba hutumia chini ya dakika moja pamoja na nguvu alizonazo Simba hutumia chini ya dakika moja pamoja na nguvu alizonazo Reviewed by Love Psychologist on April 25, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.