Natumai mko POA
Leo acha niwe mshauri kwa mabinti ambao hamjaolewa
1) nawashauri msikae kibachelor mda mrefu Ni mbaya Sana mfano bint anatoka kwao anapanga chumba chake anakua na kazi yake kwa muda mrefu kuanzia miaka 4,5... Nimbaya sababu ukija kuolewa unaona kuishi na kua chini ya mtu unaona Kama adhabu flan.
Mfano Mimi nimekaa mwenyewe tangu 2010 ndio nimeanza maisha ya kupanga nilijaribu kuolewa hapo nyuma nikashindwa inshort nimeshindwa ndoa 2( japo si za kanisan) na hii ya 3 inaenda kunishinda soon...nimezoea kujiamulia mwenyewe,nimezoea kufanya vingi peke angu et Sasa hv mpaka et upitie kwa mtu.... mshahara wangu mwingine aupangie matumiz Ni kitu Cha kawaida lkn inakua ngum kwangu sababu nimezoea kukaa mwenyewe
2) ushauri kwa wake kwa wanaume oaneni watu wa jamii moja
Sio ubaguzi lkn inasaidia maana tabia nyingi mnaendana
Binafsi niliolewa na nimeolewa na kabila tofauti na Mimi dah!! Inanipa shida sababu naona vitu tabia nyingi tuko tofauti
Kwa leo niishie hapa.
Part 2 inakuja
Soma: Ushauri kwa mabinti
Reviewed by Love Psychologist
on
April 25, 2019
Rating:
No comments: