Sponsor

banner image

recent posts

Swali: Eti wanawake wana Bikra Ngapi?



Kuna dogo leo kaniuliza tukiwa pale Mlimani City ananiulizia Eti wanawake (wadada) wanakuwaga na bikra Ngapi kabla hawajagegedwa?

Nikamwambia ngoja niwaulize vijana wangu jamii forum wakijibu nitakupa link ukasome maana muda huo sikuwa na jibu.

Embu nisaidieni watu wote, na wale mliokubuhu kwenye mapenzi kwani akina dada wanakuwa na bikra Ngapi?

Me najua zipo 6 SA sijui kama zilishaongezekaga! ðŸ˜‚😂😂😂😂
Swali: Eti wanawake wana Bikra Ngapi? Swali: Eti wanawake wana Bikra Ngapi? Reviewed by Love Psychologist on April 18, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.