Huwa najisikia vibaya sana ninapoenda hoteli yenye swimming pool naishia kutembea kwenye maji na kucheki wengine wakiogelea.
Natamani kujifunza kuogelea maana naweza zama siku yoyote kwenye pantoni nikashinda kujitetea maana pia napandaga panton karibu kila wiki mara mbili na kuogelea sijui.
Hebu tupeane uzoefu ni wapi naweza jifunza ogelea kwa Dar.
Kwa wale ambao wakiingia kwenye swimming pool wanatembea
Reviewed by Love Psychologist
on
April 18, 2019
Rating:
No comments: