Sponsor

banner image

recent posts

Ushauri: Fanya starehe zote za duniani kabla ya kuoa na kutulia




Kutoka Kwa Mdau

Leo nitatoa ushauri wangu kwa ufipi tu na siku nyingine nitatoa kwa urefu kwa kutoa simulizi ya mikasa niliyopitia na mafanikio niliyopata katika maisha yangu.


Ushauri wangu ni kwamba ukitaka kuwa na ndoa yenye furaha tafuta pesa kwa nguvu zako zote na ukipata pesa hakikisha unafanya starehe zote duniani na tembea na idadi kubwa ya wanawake kadri inavyowezekana kabla ya kuwa na mchumba na kabla ya kuoa hususani tembea na kila aina ya wanawake unaowatamani kuanzia kwenye sura, rangi, umbo, kimo nakadhalika tembea na wanawake warefu kwa wafupi, weupe kwa weusi, wanene kwa wembamba, wenye figure nzuri kwa figureless, wenye sura nzuri kwa wenye sura mbaya, wenye maji kwa wakavu, wenye kupiga makelele kitandani kwa wakimya, wenye kukata viuno kwa walala kama gogo na kadhalika. Kwa uchache tembea walau na wanawake 200 lakini itapendeza ikiwa ni zaidi ya 200. 

Kula starehe zote na wanawake kadri uchumi wako utavyokuruhusu na kama uchumi unaruhusu kula starehe hadi kwenye mbuga za wanyama, kwenye 5 star hotels na nje ya nchi na kila eneo la starehe. Fanya style zote za mapenzi kuanzia dogo style au chuma mboga, katerero, popo kanyea mbingu na kadhalika kimsingi hakikisha wanawake wanakufanyia kila kitu unachotaka kufanyiwa kwenye mapenzi ikiwemo romantic massage etc.

Kula kila aina ya chakula unachokitamani na fanya kila aina ya starehe unayo taka isipokuwa kamwe usifanye mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke. Fanya ngono mpaka usikie umewakinai wanawake.

Ukifanya ngono mpaka ukawakinai wanawake basi hachana na starehe na uzinzi kabisa tafuta mwanamke mtulivu na mcha Mungu uoe na kamwe usitoke ndani ya ndoa yako katika maisha yako yaliyobakia duniani. Kwa kufanya hivi utakuwa na amani ya moyoni (peace of mind) sana kwenye ndoa maana hautakuwa na hofu ya kufumaniwa na mkeo na hata mkeo akishika simu yako utakuwa na amani. Pia, hata ukimfumania mkeo hautaumia sana maana utajiona wewe ni muovu na mzinzi zaidi yake na ni rahisi kumsamehe mkeo. Pia mkeo akikuhudhi sana ni rahisi kumpiga chini hata kama unampenda sana kwa sababu wanawake utakuwa umewazoea sana na unawaona ni watu wa kawaida tu. 

Mimi binafsi nilitembea na wanawake 300 kabla ya kupata mchumba na kufunga ndoa na mke wangu alikuwa mwanamke wa 301 kukutananaye kimwili na inawezekana akawa ni mwanamke wa mwisho katika maisha yangu kukutananaye kimwili labda tu anitangulie kufa au tuachane na mke wangu ndo atakuwa mwanamke wa mwisho kukutana nae kimwili katika maisha yangu maana sina mpango kabisa wa kutoka nje ya ndoa yangu. Kila nikitembea na mwanamke mpya nilikuwa ninaweka rekodi ya majina yake, siku moja niliorodhesha list ya majina ya wanawake wote 300 niliotembea nao na kuifanyia scanning na kuiweka kwenye e-mail yangu ya siri na kufunga rasmi mchezo huo na kuanza safari ya kumtafuta mchumba na mke wa ndoa.

Hiki kitendo cha kutembea na wanawake wengi kimenifanya kuwa muaminifu katika ndoa yangu na ninaishi kwa furaha sana na mke wangu na ananipenda sana ananiona kuwa mimi ni mwanaume mwadilifu na muaminifu sana kumbe mimi ni Mwanaume Mzinzinzi Mstaafu niko ninakula pension yangu kwa kutumia kikokotoo cha zamani. Pia, ukiwa muaminifu na muadilifu kwa ndoa yako utapata mafanikio makubwa kiuchumi na katika kazi zako za kitaaluma kwa sababu unakuwa na nidhamu ya matumizi ya pesa hautumii pesa kwenye starehe na pia unakuwa na muda wakutosha wa kuconcentrate kwenye maswala ya msingi hii ikienda sambamba na kuwa na peace of mind. Mimi binafsi nimepiga hatua kubwa sana kiuchumi na professionally katika kipindi cha uchumba na wakati ndoa maana nina peace of mind na nina nidhamu ya muda na matumizi ya pesa, sijawahi kutumia pesa kwenye mchepuko tokea nimeingia kwenye uchumba na kwenye ndoa takatifu. 

Leo siwezi kubabaishwa na mwanamke yoyote hapa duniani maana niliweza kuona kwa macho yangu k...ma 300 za kila aina na m...ziwa 600 na pia nilipata fursa ya kuwafahamu vizuri na kwa kina wanawake na kujua namna ya kuishi nao. Mimi nikikaa na mwanamke kwa nusu saa tukaongea ninaweza kufahama walau 30% ya tabia yake na maisha yake na ni rahisi kufahamu mwanamke anayenipenda kwa dhati na anaye pretend kunipenda.

Ni ushauri wangu kwa wanaume kuwa tembea na wanawake wengi sana kadri inavyowezekana kabla ya ndoa na fanya starehe zote kabla ya ndoa baada ya hapo tulia tafuta mchumba mtulivu na mcha Mungu na funga ndoa na kuwa mwaminifu na mwadilifu kwa mkeo na kamwe husitoke nje ya ndoa yako. Utaishi ukiwa na peace of mind na utaishi maisha yenye furaha wewe pamoja na mkeo na watoto na familia kwa ujumla na maisha yenye mafanikio makubwa kiuchumi na kitaaluma (professionally) / kikazi. Na hii ni muhimu sana kwa watu naotaka kuwa wanasiasa.

Siku nyingine nikipata muda nitawasimulia historia ya maisha yangu ya ujana nilivyo kula starehe na hanasa na nilivyo tulia na kuanzisha maisha ya ndoa yenye mafanikio na furaha. Pia nitawapatia sababu ya kitu gani kilinifanya au kunisukuma niwe na wazo la kutembea na wanawake wengi.
Ushauri: Fanya starehe zote za duniani kabla ya kuoa na kutulia Ushauri: Fanya starehe zote za duniani kabla ya kuoa na kutulia Reviewed by Love Psychologist on April 01, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.