Wadau mpo?
Kuna skendo ambazo sio mpya niendelevu wanaume hawatunzi wake zao kutwa kwa michepuko.
Mtu anapokea mshahara anaenda bara kula nyama na michepuko naingine anaficha benki .
Kidogo sana anampa mke wake na anamwambia bajetia hii ndio ya mwezi huu.
Kila kukicha anampiga mkewe watoto hawana nguo za shule na wala hawali vizuri baba yao ndio hivyo kazi kuwapa vinono malaya hii ni hali mbaya.
Mke wake ananuka jasho hana sabuni hana nguo nzuri mkifanya ziara zakutembelea majumbani mwao mtazimia wanawake zao wamechoka maisha.
Mwingine hana jicho mwingine anaogopa mpaka hajitambui.
Wanaume zao wameishia kwenye uzinzi hadi aibu.
Ada hawajalipa wala nini .
Mama ndio adange aje awape.
Mlo wanakula mara 3 siku ambayo imetokea riziki labda mtu aje anayewafahamu ndio awafanyie ka shopping mtoto wako anakunywa chai bubu na magimbi wewe na huyo hawara yako mnakula mbuzi na vinono.
Yaani maisha ni tete.
Kuolewa ni dili ila wanaume sio mtu mkishakuwa na familia anaenda kwa malaya.
Namateso ndio yanaanza msitese wenzenu kama haupo tayari basi acha .
Usikubalie kuleta malaika wadogo ukaja kuwa tesa jua familia yako ni majukumu yako suo unaenda kulisha double malaya halafu unasema majukumu ya nyumbani ni mama na baba wanasaidiana ili ubakize hela za malaya.
Wanaume mliooa kumbe mko hivi?
Reviewed by Love Psychologist
on
April 16, 2019
Rating:
Reviewed by Love Psychologist
on
April 16, 2019
Rating:

No comments: