Sponsor

banner image

recent posts

Dunia nzima inajua sasa hivi wanaume wa Tanzania wana upungufu wa nguvu za kiume



Kufuatia suala la nguvu za kiume kuwa jambo kubwa hadi kutinga mjengoni kwa waheshimiwa, pia vyombo mbalimbali duniani vya habari yakiwemo mashirika ya BBC na DEUTSCHE WELLE yanaripoti kuwa Tanzania kuna wimbi la ongezeko la dawa za nguvu za kiume linalotoka na wanaume wa nchi hiyo kuwa goigoi kwa kitanda

Binafsi sijui huu utafiti ulifanyika nchi nzima au DAR SI SALAMA pekee na ROMBO maana kwa kweli wanaume wa Tanzania kwa ujumla tunaonekana kama nyuki wa mashineni sasa hivi

Wanaume wenzangu hili jambo limenisikitisha sana, au sijui ile ripoti ya Bongo kuwa kinara wa msongo wa mawazo inahusika?

Hali ni mbaya
Dunia nzima inajua sasa hivi wanaume wa Tanzania wana upungufu wa nguvu za kiume Dunia nzima inajua sasa hivi wanaume wa Tanzania wana upungufu wa nguvu za kiume Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.