Sponsor

banner image

recent posts

Wewe unatongozaje? Jifunze machache kujihakikishia muda wote una watoto wazuri.



Wewe unatongozaje, unahakikishaje hukosi mpenzi muda wote?.

Kutongoza hakuna formula, ila mimi kujihakikishia nina stock ya kutosha wa warembo natumia njia zifiatazo kwa uchache.

1. Old fashioned way, kutumia watu wakutongozee, wakuunganishe na watoto wazuri hasa wanawake. Mwanamke ni rahisi kumuamini mwanamke mwenzake anapomtambulisha kwa mtu stranger kwake, mimi natumia watu wa karbu na warembo ninaowataka hata ikiwezekana kuwalipa ili wanirahisishie kazi. Nawinda status za jamaa zangu wa kike, akimpost mtoto mzuri namuomba.

2. Social media. Natumia mitandao ya kijamii kutongoza, instagram na twitter Dms, hapa inachukua muda kidogo maana kama mtu hakujui sio rahisi ila unakomaa tu na unapata watoto wazuri.

3. Dating sites. Mitandao ya kuzoa warembo wote malaya na wasio malaya kama badoo(hii sasa siitumii na account nimefuta), Tinder, meet me, eharmony, na mingine, hapa unajihakikishia kua una supply ya mbunye muda wote unaotaka.

4. Siachi mwanamke. Kosa kubwa baadhi ya wanaume wenzangu wanafanya ni kuacha, mwanamke haachwi, akuache yeye. Ukiona mwanaume anasema hajawahi kuachwa ujue hana akili. Mwanaume uachwe. Mimi siachi mwanamke hvyo kupelekea kua na stock kubwa, maana hata kama simtaki namuweka kwenye dormant state, siku nikizidiwa nakumbushia tu, hata akizingua hua nguvu za kumshawishi ni kidogo maana hujamuacha.

5. Hakikisha unao marafiki zako wa nne au watano wa kike ambao unawatumia kutafuna cirlce za marafiki zao wa kike. Asikudanganye mtu hapa mjini kupata watoto wazuri pia inahitaji network, sio kazi tu hata watoto wazuri unahitaji network, ukizubaa utaishia kula malaya wa barabarani na kupiga punyeto.

Hua nashangaa sana mtu anasema hana mwanamke, au unasikia mtu kabaka, au mtu anapiga punyeto kisa hana mwanamke, nashangaa sana. Wanawake ni watu unatakiwa kwenda nao kisayansi kwa kutumia akili.

Huu ni ushauri wangu wa bure kwa vijana, hakikisha muda wote una mbunye zimekuzunguka na mbinu za kupata mbunye ndio hizo.
Wewe unatongozaje? Jifunze machache kujihakikishia muda wote una watoto wazuri. Wewe unatongozaje? Jifunze machache kujihakikishia muda wote una watoto wazuri. Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.