Sponsor

banner image

recent posts

Faida za kuoa wasichana miaka 20 hadi 25



Haijalishi una umri gani lakini muda mwafaka wa msichana kuolewa ni kati ya miaka 20 hadi 25

Achana na dhana potofu za kimapenzi eti sijui hawajui nini?

Faida zake ni kama zifuatazo

1. Ndio umri ambao msichana anaweza kuzaa watoto wenye afya nzuri

2. Ndio umri ambao msichana anafundishika na anaweza jengeka kimaono zaidi.

3. Ndio umri ambao msichana ana kua bado mtii na msikivu!!

4. Ndio umri ambao msichana anafurahia mahusiano..

5. Ndio umri ambao msichana anaona upweke kuwaacha wazazi hivyo kumpata mume inakua faraja kwake na mume anapewa nafasi ya kwanza.

Faida za kuoa wasichana miaka 20 hadi 25 Faida za kuoa wasichana miaka 20 hadi 25 Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.