Sponsor

banner image

recent posts

HIVI WADADA WANACHAMBAJE NA MIKUCHA HIYO BANDIA



Wadau, kutokana na suala zima la usafi nimejiuliza sana juu ya umuhimu wa kuwa na kucha ndeeeeeefu kama mwanasesere. Hawa akina dada wanachambaje? Na wanajikinga vipi dhidi ya bakteria wanaoweza kukwama ndani ya kucha hasa hasa ukichukulia kwamba si utamaduni wa watu wengi kunawa mikono kwa sabuni watokapo toilet. Binafsi demu wangu akiwa na mikucha mirefu huwa nampa red card hapohapo. Wewe unasemaje
HIVI WADADA WANACHAMBAJE NA MIKUCHA HIYO BANDIA HIVI WADADA WANACHAMBAJE NA MIKUCHA HIYO BANDIA Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.