Sponsor

banner image

recent posts

Jirani yangu anatembea na mwanafunzi!



Kuna jirani apa chumba cha pembeni anaingiza mwanafunzi isitoshe mda mwingine anakuja kabisa na sketi ya shule.
Na ikitegemea hii nyumba ina geti so akiingia getini walio nje hawajui kaenda chumba kipi anasababisha hadi mimi naona soo nikiwa nje maana wanaweza kudhani ni mimi alafu nikapata kesi bure.

Nawaza kumwambia jirani aachane na mwanafunzi lisije kutokea balaa apa maana tupo wawili tu apa kwenye hii nyumba.

Na hata mda huu kameshatia timu kapo na begi la shule sijui kamedanganya kanaenda discussion??
Jirani yangu anatembea na mwanafunzi! Jirani yangu anatembea na mwanafunzi! Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.