Sponsor

banner image

recent posts

Mke mtarajiwa wa mdogo wangu ni mpenzi wangu wa muda mrefu na hatujaachana.



Wakuu, hii ni habari ya kweli..

Nina mdogo wangu mtoto wa mama mdogo, huyu dogo hua hatuko jirani kivile ula hua tunawasiliana hasa kwenye maswala yake ya kazi akipata changamoto hua ananicheki kumsaidia kumpa muongozo au kumuunganisha na watu wanaoweza kumsaidia kwenye idara yake maana kuna watu nawajua.

Sasa, huyu dogo alipata kazi mwaka jana, kuna taasisi ilitangaza kazi nikamshauri dogo aombe kwa kua ana cheti cha diploma akitumie, akatumia akapata.

Huyu dogo kamaliza bachelor degree yake mwaka jana mkoa mmoja hivi. Wakati akiwa anasoma huko kuna mtoto mmoja nilikua naishi nae hom karbu miezi 7 mwaka jana, baadae huyo dogo akarudi kwao huko mkoani, ila huyu binti walisoma shule moja na huyu dogo ingawa dogo alitangulia kumaliza mbele sana ya huyu dogo.

Huyu binti aliporudi kwao mkoani mwaka jana dogo nae akawa ameelekea huko kikazi, wakakutana wakaanza kutafunana, huku mimi nikitafuna once ina a while bila kujua dogo anatafuna. Huwezi kuamini last time nimamtafuna huyo binti ni tarehe 27.04.2019. Cha ajabu leo napata taarifa kua dogo anataka kuoa na mwezi wa sita anaenda kujitambulisha kwao mchumba wake. Nikataka kumjua mchumba hamadi ni huyu binti.

Sijamuuliza huyu binti na wala sitaki kumuuliza, na wala sitaki mdogo wangu ajue kama nimewahi kua na mahusiano na huyu binti. Actually nimefurahi kusikia anaolewa ila nimesikitika wanawake wabaya, anajua anaolewa alafu bado anagawa mbunye na mbaya zaidi hajui kua mume wake mtarajiwa ni mdogo wangu.

Katika maisha yangu hii itakua mara ya tatu ndugu zangu kuoa waliowahi kua wapenzi wangu, binamu yangu mtoto wa mjomba kabisa alioa mpenzi wangu, kaka yangu tunashare baba ameoa mpenzi wangu tuliesoma nae sekondari na wala hao wote hawajui kama wake zao walikua wapenzi wangu, ni mimi tu na hao wanawake ndio tunajua.

Wanawake watu wabaya sana.
Mke mtarajiwa wa mdogo wangu ni mpenzi wangu wa muda mrefu na hatujaachana. Mke mtarajiwa wa mdogo wangu ni mpenzi wangu wa muda mrefu na hatujaachana. Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.