Sponsor

banner image

recent posts

Kaka wa Kigoma Alienipendaga Miaka ya 80 nikamkataa!!



Unajua Hapa namshukuru Sana Mungu aliniepushaga na jamaa mmoja la Kigoma!! πŸ˜‚

Kuna kaka wa Kigoma alinipenda maisha miaka Hiyo ya 1985,

Nilimkataaga maskini alikuwa serious anataka kunioa tena fasta mpaka na mahari akawahi kwenda kuitoa nilipoitwa na Mzee wangu nikakataaa kabisa... Niliulizwa nasema roho haitaki Baba nikakataa Katu Katu sikuwahi kuelekea kwanini mpaka leo! πŸ˜“

Kigoma jomooooni kwani mmekuwaje nyie?
Mara naskia wengine NI wa Rwanda mara sijui Uganda wanapitia Kigoma, ukweli NI upi sa!?

Bora niliolewa na Msukuma wangu SA hivi ndoa ya mwaka wa 33 namshukuru Mungu napepea kama MalaikaπŸ™

Wadogozangu Kigoma Pagumu shaurienu, Mungu Awasimamie! Amen πŸ™

Kwani vijana wa kigoma mekuwaje tena?!

Wa Kigoma Mupoooo?!
Kaka wa Kigoma Alienipendaga Miaka ya 80 nikamkataa!! Kaka wa Kigoma Alienipendaga Miaka ya 80 nikamkataa!! Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.