Sponsor

banner image

recent posts

Vitu ambavyo unatakiwa kuwa navyo by age of 25+



Wakuu habar zenu,
Leo nimeona niwape wanaume mambo muhimu ambayo wengi tunajisahau sana kwa hili
Vitu ambavyo unatakiwa kuwa navyo by age of 25+

i) Passport ya Kusafiria
ii) Driving License (hata kama huna gari wala ramani za karibu za kumiliki)
iii) Discpline ya Mahusiano (Kuwa na mchumba/mpenzi wa malengo)
iv) Kujifunza namna uwekezaji.
v) Kuwa na ghetto!!

Kama kuna vingine ongezea tupate elimu
Vitu ambavyo unatakiwa kuwa navyo by age of 25+ Vitu ambavyo unatakiwa kuwa navyo by age of 25+ Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.