Unajua Hapa namshukuru Sana Mungu aliniepushaga na jamaa mmoja la Kigoma!! π
Kuna kaka wa Kigoma alinipenda maisha miaka Hiyo ya 1985,
Nilimkataaga maskini alikuwa serious anataka kunioa tena fasta mpaka na mahari akawahi kwenda kuitoa nilipoitwa na Mzee wangu nikakataaa kabisa... Niliulizwa nasema roho haitaki Baba nikakataa Katu Katu sikuwahi kuelekea kwanini mpaka leo! π
Kigoma jomooooni kwani mmekuwaje nyie?
Mara naskia wengine NI wa Rwanda mara sijui Uganda wanapitia Kigoma, ukweli NI upi sa!?
Bora niliolewa na Msukuma wangu SA hivi ndoa ya mwaka wa 33 namshukuru Mungu napepea kama Malaikaπ
Wadogozangu Kigoma Pagumu shaurienu, Mungu Awasimamie! Amen π
Kwani vijana wa kigoma mekuwaje tena?!
Wa Kigoma Mupoooo?!
Kaka wa Kigoma Alienipendaga Miaka ya 80 nikamkataa!!
Reviewed by Love Psychologist
on
May 03, 2019
Rating:
No comments: