Wakuu habar zenu,
Leo nimeona niwape wanaume mambo muhimu ambayo wengi tunajisahau sana kwa hili
Vitu ambavyo unatakiwa kuwa navyo by age of 25+
i) Passport ya Kusafiria
ii) Driving License (hata kama huna gari wala ramani za karibu za kumiliki)
iii) Discpline ya Mahusiano (Kuwa na mchumba/mpenzi wa malengo)
iv) Kujifunza namna uwekezaji.
v) Kuwa na ghetto!!
Kama kuna vingine ongezea tupate elimu
Vitu ambavyo unatakiwa kuwa navyo by age of 25+
Reviewed by Love Psychologist
on
May 03, 2019
Rating:
No comments: