Sponsor

banner image

recent posts

Kijana mwanamke aliyekuzidi kipato hafai kumuoa atakusumbua sana.



Direct to the point kijana hakikisha mwanamke unayemuoa umemzidi kipato.
1.utapata ujasiri kwenye maamuzi.
2.utapata heshima ndani.
Km akikuzudi kipato utakosa hivyo vitu viwili vilivyo nilivyotaja.
Inawezekana husinielewe ila jaribu utapata majibu yake.

Wanawake nature yao ni kuongozwa katika kila kitu,ila mwanamke akikuzidi kipato kivyovyote mtagombana.
1.mwanamke atakudharau sana coz atakuwa ameshika nguzo ya maamuzi ,pesa ndio kila kitu.
2.inawezekana mwanamke asiwe na dharau ila we mwanaume lazima utapatwa na infererity complex ambayo itapelekea mgogoro mzito sana cz mwanamke atakuchoka kwa jinsi unavyolalamika mda wote kwa mambo ambayo si ya kweli.

NB:hakikisha mzunguko wa pesa unaudhibti kama mwanaume.
Ukiona MTU anaishi na mwanamke wa aina hiyo jua anavumilia mengi sana.
1.Mume bwege.
2.mwanaume wa Dar mpenda slop
Kwa mwanaume unayejitambua ngumu kuishi na mwanamke wa aina hiyo.
Kijana mwanamke aliyekuzidi kipato hafai kumuoa atakusumbua sana. Kijana mwanamke aliyekuzidi kipato hafai kumuoa atakusumbua sana. Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.