Sponsor

banner image

recent posts

Kila tukigombana ananiblock WhatsApp



Nina girlfriend wangu ambaye kila tukigombana zikipita siku tatu au nne sijamsemesha ananiblock Whatssap na tukishaelewana ana unblock.

Nikimuuliza kwanini anapenda kuniblock kila tukikosana anasema kwamba huwa anaumia akiniona especially my dp ndomana anaona bora aniblock kwa muda huo ili nafsi yake itulie.

Je ni kwamba anamapenzi ya dhati na mimi au ananiektia ?

Je mtu anapokublock badala ya kufuta namba yako mazima ili hata kwenye whatssap isionekane huwa anamaanisha nini ?

Karibuni tupeane experience wataalamu wa mambo ya mapenzi
Kila tukigombana ananiblock WhatsApp Kila tukigombana ananiblock WhatsApp Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.