Sponsor

banner image

recent posts

Life is not fair, Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi bila kinga yoyote na hawapati HIV


Huenda hii ikawa moja kati ya phrase maarufu sana duniani. Lakini je ni kwa Namna gani maisha hayapo fair? Hebu fikiria Snerio zifuatazo.

1. Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi bila kinga yoyote na mbaya zaidi wanafanya hivyo watu ambao hata hawazijui hata backgrounds zao amd yet hawawi infected ma HIV. Lakini kuna mtu let say a woman, hajawahi kusex kabisa then anaamua siki hiyo ajaribu and anaishia kupata Ujauzito na HIV juu.

2. Kuna watu wanaiba kila siku iendayo kwa Mungu na hawakamatwi. Ila kuna mwingine anaenda kuiba siku yake ya kwanza tu anaishia kupigwa vikali na kuchomwa moto na kufa.

Kuna mifano mingi sana ambayo inaweza kuonesha how life is not fair. Mtu unaweza kuongezea mingine...

Karibuni.
Life is not fair, Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi bila kinga yoyote na hawapati HIV Life is not fair, Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi bila kinga yoyote na hawapati HIV Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.