Sponsor

banner image

recent posts

Taarifa: Madanguro haya ni hatari kwa afya yako



Habari
Leo katika pita pita zangu huko na huko gafla nilikutana na manesi wa hosptali fulani ya serikali,wao walikuwa kwenye zoezi la upimaji wa virusi vya ukimwi kwa wanawake wanaojiuza kwenye madanguro.

sikutaka kujua stori nyingi zaidi pale ila niliwauliza eehh ripoti yenu inasemaje kwa ufupi sana walinitajia madanguro yafuatayo;

1.Double kebini kwa wahaya TANDIKA pale maambukizi ni nusu nusu;

2.KIGAMBONI kalibia wote wameathirika wakiwemo na wakenya wanaojishughulisha na kujiuza

3.KINONDONI maambukizi ni nusu kwa nusu

4.MANZESE maambukizi ni nusu kwa nusu

Taarifa: Madanguro haya ni hatari kwa afya yako Taarifa: Madanguro haya ni hatari kwa afya yako Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.