Sponsor

banner image

recent posts

Ukibaki njia kuu unaishi kwa amani



Hakika ni mateso bila ya chuki kuwa na mchepuko.
Simi isiite,
Meseji isiingie.
Presha juu juu.
Yaani hakuna hata raha ya maisha kwakweli.

Simu ikiita usiku, ukaipokelee bafuni tena mke akiwa amelala usingizi wa pono.
Hakuna kuweka mlio kwenye simu.

Nimebaki njia kuu sina presha tena.
Simu inamuito.
Meseji ikiingia mke wangu ananisomea.
Zile kuzima simu ukienda kuoga hakuna tena.
Yaani naishi maisha ya raha na amani tele.

Mwisho wa siku, hakuna nilichoambulia kutoka kwa michepuko zaidi ya kupoteza muda na hela zangu
Ukibaki njia kuu unaishi kwa amani Ukibaki njia kuu unaishi kwa amani Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.