Unajua mm sijawahi kuwaelewa wanaume.
Sasa baada ya kumtoa babu kwa bibi huwa mnamchungulia ili iweje?
Hata mkienda toilet lazima umshike umuangalie kwanza babu huwa mnamaanisha nini?
Kwa kweli naombeni majibu leo.
Hichi kitabia nimekiona kwa wanaume wengi wakimtoa babu kwa bibi lazima amchungulie babu wakee.
Nimefanya ka utafiti nimeona nikajiuliza why?
Wanaume kwanini mkimaliza kusex lazima mumuangalie babu?
 
        Reviewed by Love Psychologist
        on 
        
May 10, 2019
 
        Rating: 
      
 
        Reviewed by Love Psychologist
        on 
        
May 10, 2019
 
        Rating: 

No comments: