Sponsor

banner image

recent posts

HATARI:Naiteka simu ya mpenzi wangu kwa uchunguzi nitampa Kesho jioni nikitoka kazini



Wakuu kama mume mtarajiwa bora nianze mapema kupeleleza simu ya girlfriend Wangu kwa ajili ya kubaini upuuzi wa aiana yeyote, Kesho nitaenda nayo kazini.. Nimemaliza! Mwenye maoni kuniunga mkono njooi hapa

HATARI:Naiteka simu ya mpenzi wangu kwa uchunguzi nitampa Kesho jioni nikitoka kazini HATARI:Naiteka simu ya mpenzi wangu kwa uchunguzi nitampa Kesho jioni nikitoka kazini Reviewed by Love Psychologist on March 24, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.