Sponsor

banner image

recent posts

Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi



Kutoka Kwa Mdau

Niende moja kwa moja kwenye mada husika, mimi ni kijana mwenye umri kati ya 28 hadi 34 hapo.

Nimetokea kuwa na mahusiano na mdada umri miaka 26, ninampenda na ananipenda lakini tatizo ni yeye anataka tunakutana kimwili mara moja tu kwa mwezi, mimi uwezo wangu ningependa iwe kila siku na uwezo huo ninao.

Sio kwamba hafurahii tendo lenyewe bali anasema ndivyo alivyo, kwa kweli hiyo mara moja tukikutana huwa anaitumia vizuri na mimi huwa naitumia vizuri sana kuanzia kumuandaa kisaikolojia hadi tendo lenyewe.

Sasa wana JF nisaidieni niendelee nae huku roho inateseka au nitafute mpenzi mwingine? Mpenzi atakayeweza kukidhi hitaji langu.

NB: Matusi sio ushauri
Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi Reviewed by Love Psychologist on March 05, 2019 Rating: 5

1 comment:

  1. Usimuache mpezi wako, ila endelea kuongea naye hadi aridhike kisaikologia.

    ReplyDelete

Powered by Blogger.