Habar zenu wakuu
Takriban kwa mda mrefu sana nilikua naishi kiunafiki kabisa kufake relationship status yangu kwa sababu tofaut ambazo ni ziite kua ni za kijinga
Nilikua napata tafakar kuhusu hili mara kwa mara hadi nikawa nathibitisha ule msemo kua good woman always get the bad boy
Mke wangu ni mzur kila idara , kuanzia sura , tabia ndo usiseme, umbo, ni mpole na ananijali na kunipenda kusiko mithilika so kiufup niseme she is quit perfect and blessed as woman
Baaada ya kuwa dishonest kwa mda mrefu nimegundua kua hakuna penz la dhati na la kweli na zuri kabisa ispokua lile linalotokana na mke au mume
Yaan zile family interaction za watu wawil ambao wanapendana na kuleta zile joys and happiness baina yao ni priceless believe me kwamba ni priceless unless uwe hujawai ku expirience anything like that
Baaada ya maelezo hayo niseme kwamba its over sitokuja tena kabisa kumcheat wife or to take her for granted nimegundua nimebarikiwa sna tena sna hadi baba yangu mzazi kaliona hilo na kunisisitiza kua mkwe wake huyu ni exceptional kwa heshima yake , tabia na mengine
Kweli mda mwingine sisi binaadam tunashindwa ku appreciate something until it become too late or just a story
Ila namshkuru mungu kunijaalia nikatambua hili before its too late
Niseme tu , nakushkuru sna muumba wangu kwa kunibariki daima nitakua mwenye shukran
Nimeendika huu uzi kwa hisia kali , na nikirud tu home leo basi baada ya kumpa wife zawadi pia nitambeba kumkumbusha ule upendo alioupata siku za mwanzoni
Ushauri wangu kwenu wanaume wenzangu hemu tu appreciate vile vya kheir na vzur ambavyo mungu katujaalia , kila anachokupa mungu jua ni baraka kuliko kile unacholazimisha kua nacho
Mbali zaid utakuta sisi men tunapata kila kitu kutoka kwa wake zetu tena for free kabisa , lakin still tunaenda kwa michepuko ambayo somtimes utakuta huo mchepuko haumfikii mke wako hata robo ya uzuri na bado matatizo kibao na gharama jaman daah sisi wanaume tunapaswa kujitafakar kwa kweli
Nimalizie kusema , tuwapendeni wake zetu jaman tamaa haziishi its better late ku realize ku appreciate your wife than never the time is now before its too late
I love you so much my wife tripple s (sss) you are my world , my heaven and my universe
I Love you my wife, i really love you
Reviewed by Love Psychologist
on
April 25, 2019
Rating:
No comments: