Sponsor

banner image

recent posts

Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri 42-50 ambaye yupo serious



Nimedhamiria kwa dhati, natafuta mke wa kuoa na kuishi naye.

Naitwa Hensley nina umri wa miaka 46, rangi yangu maji ya kunde, ni mnene kidogo, mrefu wastani, elimu yangu shahada Ua uzamivu, ni mwajiriwa, dini yangu mkristo, nipo single, nina watoto 3, nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kutafuta mwanamke wa kuoa na kuanzisha nae familia kama mke na mume kama tukiridhiana na kuendana kitabia.

Mwanamke ninayemuhitaji angalau awe na vigezo vifuatavyo:
Awe na umri wa miaka 42-50 zaidi ya hapo, awe single kama ana mtoto sawa, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, awe ameajiriwa au kujiajiri, asiwe mlevi wa kilevi chochote, awe tayari kupima HIV, awe mkarimu na mwenye mapenzi ya dhati, awe mpenda maendeleo, anajali watu.

Kwa aliye tayari na mwenye vigezo hivyo Comment hapa.

Mikoa ya Pwani, Dar, Morogoro atapewa kipaumbele.
Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri 42-50 ambaye yupo serious Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri 42-50 ambaye yupo serious Reviewed by Love Psychologist on April 25, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.