Sponsor

banner image

recent posts

Natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli



Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, naishi mkoa wa Dar es Salaam.

Nakuja hapa kwa mara ya kwanza,

Natafuta/Nahitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 21 mpaka 25 ambaye yupo tayari tuwe wapenzi kwa ajili ya kuja kuona.
Nipo serious sana ila ningependa awe Muislamu na awe mjasiriamali/muajiriwa.

Naomba sana mwenye nia ya dhati kabisa anicheki ili tuyajenge.

Ahsanteni......

Wassalamu.....
Natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli Natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli Reviewed by Love Psychologist on April 25, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.