Sponsor

banner image

recent posts

Daaah hizi Barbershop nyinyi kinadada mmetuweza



Hakika nawaambieni sisi wanaume kwa hizi Barbershop kuzikimbia inataka kama kuwa ngumu hivi?

Kwanza hawa kina dadaz wa Saloon za kiume wameteka sana soko then wanapenda sana Tip. Yaani imekuwa kama lazima kumbe ni hiari ya mtolewa huduma.

Halafu hawa Dadaz wajanja sana akitaka kukuhudumia mfano scrub anakufungua vishkizo vya juu then anapitisha mikono yake kifuani huku anakuburuzia na kucha zake ndefu kwa Nippon zako aise seriously lazima unyegeke tuu, then anamalizia kwenye masikio then anakuulizia vipi Una- Enjoy? 

Huwa wanamikono lainiiiiiii hatari sana akikushika lazima utoe pesa tuu hata 30,000/= walahi. Kuna Barbershop hapo Sinza nilienda nikanyoa fresh baada ya kumaliza kuna huyo Sister akaniuliza unahitaji scrub? Nikakubali akasema twende ndani nimekaa tu kwenye kiti anarembua hatari, kanisugua masikioni, shingoni, akaniambia nitoe shati litachafuka daah nikatoa basi kanisuguaa hadi kifuani huku mmmmh nikaanza kama kusahau shida, baada ya hapo ananiuliza do u need extra service plz ni nzuri nitakuonesha aisee nilimpa pesa nikakurupuka ndukiii kubwa.

Nawaonea huruma wanawake waliiolewa wanaibiwa sana duuuh jifunzeni kuwafanyia scrub waume zenu 
Ova
tapatalk_1522506156829-jpeg.730577
Daaah hizi Barbershop nyinyi kinadada mmetuweza Daaah hizi Barbershop nyinyi kinadada mmetuweza Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.