Sponsor

banner image

recent posts

Masoud Kipanya: Mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja

Masoud Kipanya ameweka wazi kuwa mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja kutokana na kwamba mwanamke ana excuses nyingi sana kama kuchoka,kwenda mwezini,ujauzito( Kuna wanawake wakipata ujauzito yeye ni kichefuchefu na kutapika, asubuhi mpaka jioni yupo anakula udongo tu,),kuzaa,katika vipindi hivi mwanaume inabidi asimguse mwanamke hivyo kusababisha kuchepuka

Naunga mkono hoja,huwa nachepuka sana baby momy wangu akiwa mwezini, mwanamke hawezi kukupa pussy kama unavyotaka Mara amechoka,Mara hajisikii,kwa maumbile yetu wanaume hatutosheki na mwanamke mmoja ila mara nyingi tunajizuia tu kwa kuogopa magonjwa n.k msikilize hapa zaidi 





....
Masoud Kipanya: Mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja Masoud Kipanya: Mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.