Sponsor

banner image

recent posts

Jambo gani la kuaibisha lishakutokea mbele ya kadamnasi ya watu!!?



za mchana huu wana jukwaa,

kama mada inavyosema hapo juu, hivi ni jambo gani lishawahi kukutokea mbele za watu lililo pelekea kuaibika..?

kwa upande wangu nishawahi kupenga kama mbele za watu, me nikajua ni mafua ya kawaida tu, sasa kila nalivokuwa najaribu kulivuta kamasi ndivyo lilivyozidi kuvutika hali ile iliniaibisha sana maana kila mtu alichukizwa na hiyo hali(wengi walikunja sura zao).

Jambo gani la kuaibisha lishakutokea mbele ya kadamnasi ya watu!!? Jambo gani la kuaibisha lishakutokea mbele ya kadamnasi ya watu!!? Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.