Sponsor

banner image

recent posts

Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa



Katikati ya mwaka jana nilibahatika kumpata binti mmoja, mwanzo wa kujuana nae ni pale alipokuwa akipita asubuhi na mapema akienda shule, alinifanya kila siku saa12 kuwa macho ili kumsubiri nionane nae akipita, nilimweleza hisia zangu na akanielewa, binti huyu ni mcha Mungu ktk imani yangu hivyo kwa 90% alinifanya nianze kuhudhuria ibada(kabla yake nilikuwa nishaanza kurudi nyuma kiimani).

Kama ilivyo kawaida kwa wadada kuomba mahitaji ya hapa na pale kwa wapenzi wao nami pia nilianza kumhudumia kuanzia lotion, akiugua, na vitu vingine kibao(hali ya kimaisha ya kwao yapo low) pia nilimuomba nimununulie simu ili nipate kiurahisi kutokana na mazingira anayoishi, nikanunua simu, pia nakampatia line yangu, nikamuunganishia cha msg, ktk simu hiyo nilimuomba iwe special kwa ajili yangu na yeye tu na nikaji-save kwake 2be

Wanafunzi wakafunga shule akadai ataenda likizo Ushirombo hivyo nikamuomba animegee kidogo tunda langu, lkn akawa kazingua kwa kudai yupo dangerous day, nikasema isiwe kesi, mara baada ya kutoka likizo kama wiki 2 baadae nikawa nimepanga nae promise ili nikapate kifuta jasho maana nilikuwa nishatoboka kama 50 elfu, akadai hamna shida, lkn muda tuliopanga kuwa tutaonana nae ghafla akawa katoweka online, kufuatilia akawa kadai msg zimekata, akaja ghetto akawa kaniachia phone yake ili nimuungie msg kisha akaelekea kwao mimi akaniacha ghetto, sasaa hapo kimbembe ndipo kilianza, nilikutana na namba za wanaume tena wale mangosha, kubwa zaidi ile me kujisave 2be, akaiedit na kunisave jina langu la kawaida nikajarbu kupiga moja kati ya zile namba yaani sikuamini masikio yang lilikuw ni bonge la m'baba halafu kiswahili halijui hata hatukuelewana.

Kingne ni upande wa msg, katumiwa mummy,honey,my kama zote hata nilipokuja kumuulza mlengwa kuhusu hao watu bado alisema hata hawajui, basi sikutaka shobo,mambo yalikuwa kibao na kubwa zaidi ni kuninyima para.

Hadi hivi leo sipo nae kutokana na mambo ambayo aliendelea kunioneshea, mwanzo mimi nikajua ni binti mwenye heshima ambaye nitapanga nae maisha ikiwemo kumuoa atakapomaliza shule lkn mambo yakawa tofauti, tena mbaya zaidi ni kuwa wanaume wenzangu tena wengine mafala wanakula bila mpangilio ila me nikimuomba anadai anaogopa mimba tena kwa vitisho vya hatari.

Sasa nachojiuliza hivi hawa wadada kwanini ukiwapenda hawapendeki, pia kwanini kama wameamua kuwa chama la wana kwanini wengine tunanyimwa, asee inauma sana hasa kwa mtu niliyempenda.
Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.