Sponsor

banner image

recent posts

Tofauti ya wana ndoa ikiwa miaka 10+ lazima mmoja wao atakua na uchumi imara



Haya maneno niliyasoma kwenye comments za wasomaji, ni miaka mingi kidogo wakati Jackie Collins yule mwana mama Muingereza mtunzi wa vitabu ambae anaishi Los Angeles alipofunga ndoa akiwa na umri wa miaka 71 na mume wake akiwa na miaka 37.

Bado ninaifanyia uchunguzi kauli hii.
Tofauti ya wana ndoa ikiwa miaka 10+ lazima mmoja wao atakua na uchumi imara Tofauti ya wana ndoa ikiwa miaka 10+ lazima mmoja wao atakua na uchumi imara Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.