Mwizi kawezwa ki kwelii✔

Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hta hela ya kula Jana sikua nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? sipendagi ujinga na kitu hela mm!
Usisahau kushare kichekesho hiki. Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wacheke✔
Kisa Cha Mwizi...Mwizi kawezwa ki kwelii
Reviewed by Love Psychologist
on
January 20, 2019
Rating:
No comments: